Header Ads Widget

BOMU LINGINE LALIPUKA ARUSHA NA KUJERUHI WATU 8 USIKU WA KUAMKIA LEO




Watu 8 wamejeruhiwa baada ya bomu kulipuka katika Bar ya VAMA iliyopo karibu na Mahakamu kuu mjini Arusha, usiku wa kuamkia leo.

Taarifa zaidi utazidi kuzipata kwa kadri zitakavyokuwa zinatufikia

Post a Comment

0 Comments