Header Ads Widget

Taarifa Ya Kupotea kwa Tabu Kalwinzi Wilaya ya Magu Kijiji Cha Puna Mkoani Mwanza.

Habari ndugu wasomaji wa blogu ya Kwetu Miono Hapa chini kuna taarifa ya moja ya msomaji wetu amepatwa na changamoto ya kupotelewa na ndugu yake kama inavyoonekana hapo chini kwenye picha na maelezo yake hapo chini

Habari Ndugu, jamaa na marafiki. kwa masikitiko makubwa napenda kutoa taarifa za kupotelewa na mdogo wangu anayeitwa TABU KALWINZI maarufu kwa majina mengine ni Buhoro/ Elizabeth au mama Rahma au mama Mbopu. Alikuwa amepatwa na changamoto ya akili yaani kupoteza kumbukumbu. alipotelea wilaya ya magu kijiji kinaitwa Puna kwa walioko mwanza naombeni mkimuona popote piga simu 0684377014 au 0781720363 au 0742371644 au mpeleke kituo cha polisi kilicho karibu. naomba pia mnisaidie kushare kwenye magroup mbalimbali huenda akapatikana, asanteni.

Kupotea

 

Post a Comment

0 Comments