Header Ads Widget

OFFA!! OFFA!! MILIKI WEBSITE YAKO KWA LAKI MOJA TU.

Hii ni offa ya mda mfupi kwa kipindi hiki cha sikukuu za pasaka itaisha mwezi huu wanne kuanzia mwezi wa tano bei itakua ni shillingi 180,000/= Website hiyo itakua na vitu vifuatavyo

Domain name.  Hapa ni jina lako la website mfano: www.omaryieo.info Hii ni website ambayo nimeitengeneza mimi. kumbuka hiyo domain utalipia shilingi Elfu Thelathini kila mwaka na itategemea kushuka na kupanda kwa dollor maana inalipiwa kwa dollor.

Free Hosting. Hapa nimeona wadau wengi wanashindwa gharama za hosting katika website zao nikaamua iwe free hapa nitaitengeneza website yako kupitia platfom ya blog ambayo ni free hapo utakua umepunguza gharama za matumizi.

Responsive Template.. Hapa nitakuwekea muonekano mzuri wa website yako ambao utamvutia msomaji wako apende kurudi tena na tena katika tovuti yako. mfano mzuri website hii au hiyo ni mionotv.com ukibofya hapo utaitazama live hiyo website nna imani itakuvutia tu na utatamani kurudi tena.

SEO. Hapo ni kifupi cha maneno search engine optimize kiswahili chake kwamba kuifanya website yako ipatikane kwa urahisi katika serch engine kama google bing yahoo nk. kwahiyo ntaifanya hivyo website yako ili iwe ya kwanza kupatikana katika mtandao mtu anapoi search kwa google,bing au yahoo

Smart design. Huu ni ubunifu/utengenezaji wa website ambazo zinakua safi maana kuna website zingine ukiingia utakuta kuna vitu vingi visivyokua na maana, Hii inachangia tovuti kuchelewa kufunguka na kuwa nzito katika seo yaani upatikanaji katika mtandao, Mimi nitahakikisha website yako inakuwa crean na responsive ktk search engine pamoja na kufunguka kwa haraka msomaji anapofungua post zako.

Asateni kwa kusoma hii nawakaribisha katika offa hii kabambe nicheki kwa namba  
0789 197 903 au 
Nitumie ujumbe au WhatsApp No:   0654 291 932

Au tuma e-mail kwangu omarymbaraka@gmail.com


Post a Comment

0 Comments