TIMU YA TAIFA YA ALGERIA YAPOKELEWA KWA SHANGWE WAKATI IKIRUDI NYUMBANI BAADA YA KUTOLEWA KATIKA KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL.BOFYA HAPA KUONA PICHA 5 WAKIPOKEWA
Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea timu kama hii kutokana na ilichofanya.
Na hii hapa ni video jinsi walivyopokelewa pindi wakitokea brazil
0 Comments