Header Ads Widget

Kuhusu Kwetu Miono | Blog ya Kiswahili.

Kuhusu Kwetu Miono | Blog ya Kiswahili.

Historia Fupi Kuhusu KwetuMiono

Kwetu Miono Blogu ni Blogu ilioanzishwa toka mwaka 2015 na Mwanzilishi wake ni Bwana Omary Mbaraka Mzaliwa wa Kijiji cha Miono ni Mtaalam wa maswala ya blogu na website ametengeneza blogu na Tovuti mbalimbali ikiwemo tovuti ya sekondari Kikaro Sekondari link yake ni  kikaro.sc.tz.

KwetuMiono Blogu ni miongoni mwa blogu mpya Tanzania ikijihusisha na kuchapisha machapisho mbalimbali yanayohusiana na Habari za Ulimwenguni kote, Burudani na Michezo,Nafasi za Kazi, Makala za Tiba Mbadala, Muziki Audio na Video pamoja na Makala za mafundisho kuhusu Blogu na Tovuti.

Machapisho yote yanachapishwa katika lugha ya Kiswahili lengo ni kuwafikia watanzania wengi kwasababu kiswahili ndio lugha ya taifa hivyo ni rahisi kila mtanzania kusoma na kuelewa

Kama utaona tumechapisha taarifa ambazo sio sahihi basi tunaomba utuandikie kupitia barua pepe yetu hapo chini na tutafuta taarifa hizo mara moja pindi tutakapopokea ujumbe wako, Barua pepe yetu ni: kwetumiono@gmail.com

Post a Comment

0 Comments