1.SABABU YA KWANZA NI KUBAILIKA KWA HISTORIA NA MITAZAMO YA WANAUME. MIAKA MICHACHE ILIYOPITA MAMBO YALIKUWA TOFAUTI SANA KWANI MITAZAMO YA WATU WENGI SANA WA KITANZANIA NI KWAMBA MWANAMKE MZURI NA MREMBO ALIKUWA NI YULE MWENYE MAUMBILE MADOGO NA MWEMBAMBA.
WANAWAKE WEMBAMBA NA WENYE MAKALIO MADOGO WALIPEWA MAJINA MBALIMBALI YA KUWASIFIA KAMA VILE, EASY TO CARRY,PORTABLE, ENGLISH FIGURE, NK NA HIVYO WALIJIPATIA UMASHUHURI NA SIFA NYINGI SANA KUTOKA KWA WANAJAMII.
KUTOKANA NA FIKRA NA MITAZAMO YA WANAUME WA KIPINDI HICHO, WASICHANA NA WANAWAKE WENGI WALICHUKIA SANA WALIPOAMBIWA WANANENEPA AMA WANA MAKALIO MAKUBWA! KITU WALICHO KIFANYA ILI KUEPUKANA NA HILO NI KUJINYIMA KULA AMA KULA VYAKULA AMBAVYO HAVIKUWA NA MAFUTA.
KUANZIA MIAKA YA 2004 TULIANZA KUSHUHUDIA HISTORIA NA MITAZAMO YA WANAUME IKIBADILIKA KWA KASI. KIPINDI HIKI WANAWAKE WENYE MAUMBO MAKUBWA NA MAKALIO MANENE MANENE NDIO WALIOINGIA SOKONI. KILA AKIPITA MWANAMKE MWENYE UMBO HILO WANAUME WAMEKUWA WAKIGEUKA NA KUKOOA AMA KUPIGA MILUTHI KUTHIHIRISHA MATAMANIO YAO HADHARANI.WANAWAKE HAWA WAMEKUWA WAKIPEWA MAJINA KADHAA YA KUWASIFU. KWA MFANO, TUMEKUWA TUKISIKIA WAKIITWA WENYE MAUMBO KAMA MIDOLI, WALIO FUNGASHIA, WALIOKATIKA, WALIOBEBA MZIGO NYUMA, NA HATA WANAUME WENGINE WAMEKUWA WAKITHUBUTU KUTUMIA MISEMO KAMA KWELI UZURI WA NYUMBA NI CHOO CHAKE NA YALIYOMO YAMOOOO! KATIKA KUWASIFIA WANADADA HAWA WAPITAPO.
KWA SASA WANAWAKE WEMBAMBA NA WENYE MAKALIO MADOGO WAMEKUWA WAKIPEWA MAJINA YA KASHFA. KWA MFANO, ALIYEPIGWA PASI, ASIYE NA KITU NYUMA, ASIYEWEZA KUTOFAUTISHWA KATI YA MGONGO NA TUMBO, NK!!!!!
HILI LIMEPELEKEA WANAWAKE WENGI SANA AMBAO HAWANA MAKALIO MWAKUBWA KUKOSA RAHA NA HIVYO KUTAFUTA MBINU MBALIMBALI ILI WAWEZE KUKIDHI MAHITAJI YA WANAUME NA HIVYO KUINGIA SOKONI KIRAHISI.
WENGINE WAMEKUWA WAKITHUBUTU HATA KUTUMIA MADAWA YALIYOKUWA YAKITENGENEZWA CHINA NA KUINGIZWA NCHINI KINYEMELA KWA LENGO LA KUFANYA NAO WAFUNGASHIE!!!!
2. SABABU NYINGINE NI KUIBUKA NA KUONGEZEKA KWA MCHEZO WA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE, YAANI KUFIRANA. MCHEZO HUU AMBAO UMEENEA ZAIDI KATIKA MAJIJI MAKUBWA NA PWANI YA AFRIKA YA MASHARIKI, UMEKUWA UKIWAFANYA WANAUME WENGI SANA WAWAPENDE WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA NA MALAINI ILI WAWEZE KUPATA RAHA ZAIDI WAKIWA WANASHUGHULIKIA.
HATA HIVYO, KUNA WATU WENGINE WANAAMINI KUWA WANAWAKE WENGI WENYE MAKALIO MAKUBWA NA MALAINI SANA HUWA WANALIWA NYUMA NA NDIYO MAANA MAKALIO HAYO YANAENDELEA KUNAWIRI SIKU HADI SUKU!
3. SABABU YA MWISHO KABISA NI KWAMBA WANAUME WENGI SANA HUWA WANAPENDA KUPEWA SIFA KUWA WAKO NA WANAWAKE WAZURI NA WENYE MVUTO. KWA HIYO, KUTOKANA NA KUBADILIKA KWA MITAZAMO YA WATU KUWA MWANAMKE MZURI NI YULE MWENYE MAKALIO MAKUBWA, HUWA WANAUME WANATAMANI ZAIDI KUWAMILIKI WANAWAKE WENYE SIFA HII ILIMRADI WAPATE SIFA KUTOKA KWA WANAJAMII.
0 Comments