Header Ads Widget

Ogopa ukisikia mtu anavunja chungu Arusha… ijue hii ya mila za Kimeru




Kama ulikua hujui ni kwamba kwenye mila za kabila la Wameru lenye makazi yake Arusha Tanzania zinakitu kinaitwa kuvunja chungu…. sasa siku chache zilizopita lilisambaa tangazo la kuvunja chungu baada ya jamaa mmoja kuibiwa redio yake ya gari na shilingi milioni moja, stori kamili na jinsi chungu kinavyovunjwa ipo kwenye hii video hapa chini

Post a Comment

0 Comments