Mwigizaji wa bongomovie Ray ‘Vicent Kigosi’ ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia mkorogo tofauti na zamani ndio maana rangi ya ngozi imebadilika, mengi ameyaongea kwenye hii video hapa chini alipohojiwa na CloudsFM Leo Tena pia kuhusu movie yake mpya ‘Tajiri Mfupi‘
ULIIKOSA BARUA YA MTANZANIA JACKLINE CLIFF KUTOKA GEREZANI CHINA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
By Millard Ayo
0 Comments