Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ imesonga mbele kwenye hatua nyingine ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2015 kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya wenyeji Zimbabwe katika mji wa Harare, na kuifanya stars kupata ushindi wa jumla ya mabado 3-2.
Magoli ya Tanzania yalifungwa na Nadir Haroub na Thomas Ulimwengu.
0 Comments