-Miski ni mfalme wa aina zote za mafuta mazuri na ni matukufu zaidi.Ni mafuta ambayo hupigiwa mfano mzuri kwa kufadhilishwa kuliko mafuta mengine.
SIFA ZA MISKI;
-Miski hali yake ina joto na inauyabisi katika daraja la pili.
-Ina harufu na ladha yake ni tofauti na mafuta mazuri mengine.
FAIDA ZA DAWA YA MISKI
Mafuta ya Miski yana faida nyingi sana kwa mwanadamu. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na:
1.Huchangamsha na kusafisha mishipa ya fahamu na ubongo.
2.Huongeza hisia,ashiki na ladha za tendo la ndoa kwasababu huzidisha matamanio na joto mwilini
3.Huwasaidia wanawake wasiokuwa na ashki(hisia) na ladha wakati wa tendo la ndoa.
4.Huwasaidia wanaume wanaowahi kumaliza tendo la ndoa kabla ya mke..
5. Miski husaidia pia kwa kuchelewesha kuwahi kutoa manii haraka
5.Husaidia wanawake waliomaliza siku zao za hedhi
6. Miski husaidia kuondoa harufu mbaya ukeni.
7. Miski husaidia kupunguza umajimaji na harufu mbaya itokayo ukeni
6.Hukazanisha utupu wa mwanamke na kufanya sehemu hiyo kuwa ndogo
Kwa mahitaji ya dawa ya MISKI wasiliana na NEEMA HERBALIST kwa simu 0766538384.
Gharama Yake Ni Nafuu Sana
0 Comments