Mama mzazi wa Zitto Kabwe aitwaye Bi Shida ambaye alikuwa amelazwa kwa muda mrefu katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji usimamizi makini (I.C.U) amefariki dunia.
Zitto Kabwe (Mbunge-CHADEMA) amethibitisha kifo cha mama yake kupitia mtandao wa kijamii leo tar 01/06/2014
Rais wa JYMT, Jakaya Kikkwete aliwahi kwenda kumjulia hali wiki kadhaa zilizopita kama ionekanavyo katika picha
0 Comments