Rais wa Yanga Hersi Said amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Vilabu vya soka barani Afrika (ACA) katika kikao kilichofanyika leo jijini
Cairo nchini Misri.
Kikao hicho cha leo kilitumika rasmia kuizindua African Clubs Association (ACA) pamoja na Kumchagua kiongozi wao wa kwanza.
Kikao kimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vilabu vya soka barani Afrika akiwemo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah Muhene (Try Again).
0 Comments