The giant Football Club in Tanzania Simba sport club ni timu pekee Tanzania yenye ubora katika viwango vya soka Africa ukilinganisha na timu zingine Tanzania miaka ya hivi karibuni hata hivyo mpinzani wake Timu ya yanga afrika imekuwa bora msimu huu mwaka 2023/2024 ambao wamefikia hatua ya kucheza fainali kombe la shirikisho Afrika mwaka.
Simba imeshiriki mara tatu mfululuzo katika kombe la mabingwa africa na kufikia hatua ya robo fainali na kutolewa katika mashindano hayo.
Lakini hata hivyo simba nao waliwahi kufika fainali ya mashindano ya CAF Cup mwaka 1993 na kutolewa dhidi ya timu kutoka Ivory cost inajulikana kama Stella Abjan.
Mashindano haya baadae yaliunganishwa na mashindano ya CAF Winners Cup mwaka 2004 na kuzaa Kombe la Shirikisho Afrika (Africa Confederation Cup) Ambalo ndio kombe linalochezwa na wapinzani wao Yanga.
Kifuatacho ni Kikosi cha simba ambacho kilicheza fainali hio mwaka 1993.
1.Kasongo Athumani 2. David Mihambo 3. Michael Paul (nylon) 4. Duwa Said (Hakucheza) 5. Iddi Selemani (Meya) - Marehemu 6. Damian Kimiti 7. Deo Mkuki 8. Twaha Hamidu 9. Mavumbi Omar
10. Often Martin 11. George Lucas (Gazza) 12. Mbuyi Yondan 13. Suleiman Pembe 14. Ramadhani Lemmy (Marehemu) 15. Edward Chumila 16. Hussen Marshal 17. Mwameja Mohamed (Golikipa)
Hicho ndo kikosi cha simba kilichocheza fainali ya CAF Cup kilichopoteza mechi hio dhidi ya waivory cost Stella Abjan.
Enzi hizo Mdhamini wa Timu ya Simba alikuwa akijulikana kama Azim Dewji.
0 Comments