Timu Ya USM Alger Ya Nchini Algeria Yatwaa Ubingwa Wa Kombe La Shirikisho Afrika 2022/23
Timu ya USM Alger ya Algeria imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2022/23 kwa faida ya goli la ugenini licha ya kupoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa fainali ya pili iliyopigwa kwenye Uwanja wa du 5 Juillet, Algiers

Goli pekee la beki Djuma Shabani akifunga kwa penati halikutosha kuipa ubingwa Yanga ambayo ilipoteza kwa magoli 2-1 katika mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar
Pamoja na matokeo hayo, Yanga imetoa mfungaji bora wa michuano hiyo ambaye ni #FistonMayele aliyefunga magoli 7

0 Comments