Wakati zimesalia siku tano (5) kabla ya dirisha la Usajili kufungwa Januari 15, 2023 tetesi mbalimbali zimezidi kushika kasi kwenye timu za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Tetesi zilizopo ni kuwa @simbasctanzania huwenda wakaachana na Kiungo wake Nelson Okwa ili miamba hiyo ya soka kuingia kandarasi na mshambuliaji mpya.
Okwa hakuwa na msimu mzuri ligi kuu tangu kusajiliwa na miamba hiyo ya soka Afrika Mashariki na Kati.
Simba SC pia huwenda wakaachana na Victor Patrick Akpan kwenye dirisha hili la usajili la mwezi Januari.
Imeandikwa na
@fumo255
0 Comments