
Dawa ya kurefusha uume na kuongeza nguvu za kiume
AsubuhiKunywa maji lita moja kisha kaa saa 1 kunywa Asali iliyochanganywa na Mdalasini Weka ndani ya maji ya vyuguvugu.Tumia kama chai unaweza kutumia na kitafunwa chochote hama mkate.
MchanaChukuwa ndizi 6 kubwa kisha kula saa 1 kabla ya chakula cha mchana.

JioniKula matunda unayoweza kupata kama machungwa au maparachichi.
UsikuKwa unataka kuongeza urefu wa uume chukuwa maziwa fresh glass 1,kisha changanye na punje 12 za vitunguu swaumu.Kisha kunywa na tafune hizo punje kwa wakati mmoja.nusu saa kabla ya chakula cha usiku.
Kwa anaetaka kuongeza nguvu za kiume atachukuwa tangawizi atakatakata vipande kisha atachemsha na kunywa kama chai kikombe kimoja, nusu saa kabla ya chakula cha usiku.
Fanya zoezi hili kwa mujibu wa maelekezo hadi utakapoona matokeo mazuri unayoridhika nayo. Urefu wa maumbile ya kiume kwa kawaida huwa ni nchi 4 kwa mtu mzima.
0 Comments