Header Ads Widget

Picha,Tyga asajiliwa na kampuni ya wanamitindo.


Rapa Tyga amepata mchongo wa kuwa model baad aya kung’arisha jaridala DuJour mwanzoni mwa mwezi huu.

Tyga ambaye ni mpenzi wa Kylie Jenner amesajiliwa na kampuni ya One Management.

Tyga ambaye anamiliki kampuni yake ya mavazi ya ‘Last Kings clothing line’ amejiunga kwenye kampuni hii akiwa na wasanii kama Nicki Minaj,Miguel, A$AP Rocky, A$AP Ferg na Cassie.

 
 

Post a Comment

0 Comments