Header Ads Widget

PICHA: HAPA NDIPO PALIPOLIPULIWA KWA BOMU USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO MKOANI ARUSHA




WATU nane, wengi wao wakiwa ni wa asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa vibaya kwa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha usiku wa kuamkia leo.

Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.

Post a Comment

0 Comments