
B12, Fetty na Mchomvu
Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania (TCRA) imesitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa na CLOUDS FM ,kupisha uchuguzi wa tuhuma za ukiukwaji wa kanuni za utangazaji zilizofanywa na watangazaji wake B12, Fetty na Mchomvu.
Kujua kilichotoke hadi TCRA kusitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa hewani la Clouds FM


0 Comments