Header Ads Widget

HII NI TAARIFA YA AJALI ZA BARABARANI KUANZIA JANUARI MPAKA JUNI 2014 HII HAPA

Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Dcp Mohameed Mpinga katoa tathmini ya ajali za Barabarani kuanzia Mwezi Januaary mpaka June ikiwa n i kipindi cha nusu mwaka na hivi ndivyo hali ilivyo.

TATHIMINI YA MATUKIO YA AJALI ZA
BARABARAN JAN-JUNE 2013/2014
Takwimu zinaonyesha kuwa juhudi zetu zimefanikiwa kwa kupunguza ajali na majeruhi, ingawa kuna ongezeko la watu waliofarika katika ajali kwa Jan – June 2014.


S/N0
JAN-JUNE 2013 JAN –JUNE 2014 ONG/PUNG (%)
1 IDADI YA AJALI 11,311 8,405 - 2,906 (26%)
2 VIFO 1,739 1,743 4 (0.2%)
3 MAJERUHI 9,889 7,523 - 2,366 (24%)




MIKOA ILIYOONGOZA KWA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2014:-

i) Kinondoni – idadi ya ajali 2,140 (25.5%)
ii) Ilala - idadi ya ajali – 1,561 (18.6%)
iii) Temeke - idadi ya ajali – 1,351 (16.1%)
iv) Morogoro – idadi ya ajali – 514 (6.1%)
v) Kilimanjaro – idadi ya ajali – 332 (4%)

Kwa mkoa wa DSM peke yake ni ajali 5,052 ( 60.2%)


MIKOA ILIYOONGOZA KATIKA KUPUNGUZA IDADI
YA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2013/2014


MKOA Jan-June 2013 Jan-June 2014 Punguzo

Kinondoni 3059 2140 919 (30%)

Pwani 738 303 435 (59%)

Arusha 563 164 399 (71%)
4 Kilimanjaro 697 332 365 (52%)
5 Morogoro 631 514 117 (19%)


TAKWIMU ZA MAKUNDI YALIYOATHIRIKA

NA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2013/2014.


JAN-JUNE 2013 JAN- JUNE 2014 TOFAUTI
KUNDI VIFO MAJERUHI VIFO MAJERUHI VIFO MAJERUHI
MADEREVA 124 725 117 527 -7 -198
ABIRIA 476 4,112 529 3,135 53 -977
W/PIKIPIKI 359 2,460 358 1,928 -1 -532
W/BAISKELI 202 560 177 304 -25 -256
W/MIGUU 550 1,926 548 1,603 -2 -323
W/MIKOKOTENI 28 106 14 26 -14 -80
JUMLA 1,739 9,889 1,743 7,523 4 -2,366



AJALI ZA PIKIPIKI- JAN-JUNE 2013/2014.

Takwimu zinaonyesha kuwa tumeweza kupunguza ajali, vifo na majeruhi katika ajali za Pikipiki kwa kipindi cha Jan-June 2013 ikilinganishwa na Jan- June 2014.


Jan-June 2013 Jan-June 2014 ONG/PUNG
IDADI YA PIKIPIKIZILIZOHUSIKA 3,720 3,170 - 550 (15%)
IDADI YA AJALI 3016 2402 - 614 (20%)
VIFO 457 423 - 34 (7%)
MAJERUHI 2963 2301 - 662 (22%)

Post a Comment

0 Comments