Header Ads Widget

DIAMOND: HIKI NDICHO KITU KIKUBWA NITAKACHOKIFANYA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YANGU YANGU.




Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu ambacho hadi mashabiki zake watafurahia siku hiyo na hii ni nafasi yako kukijua.

Post a Comment

0 Comments