Header Ads Widget

AJARI: AGONGWA NA BODABODA NA KUUMIZWA VIBAYA TUNDUMA MKOANI MBEYA

 

Mkazi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja wa mji mdogo wa Tunduma uliopo Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya akiwa amelala barabarani baada ya kugongwa na bodaboda maeneo ya Kilimanjaro Wilayani hapa leo.


Kwa haraka mkazi huyo amewahishwa katika hospitali ya Serikali iliyopo katika mji huu kwa matibabu zaidi (PICHA NA BAHATI KAYANGE)

Post a Comment

0 Comments