Header Ads Widget

TAZAMA PICHA ZA SHABIKI WA KIPEKEE WA BRAZIL.PICHA 13 ZA MAAMUZI YAKE KWA MIAKA 20 SASA


Jina lake ni Nelson Paviotti ambae anachokifanya kwenye maisha yake ni kutimiza ahadi ambayo aliitoa kwamba kama Brazil ingeshinda kombe la dunia mwaka 1994, haya yote ndio angekua anayafanya.

Unaambiwa amekua akivaa nguo zenye rangi ya timu yake ya taifa (Brazil) kwa miaka 20 sasa hivi ambazo ni njano, kijani, blue na nyeupe…… rangi ambazo ndio zipo kwenye magari yake mawili ya VW Beetles na ndani kuna spika zinazocheza wimbo wa taifa kila anapoingia.

Ofisi zake na nyumbani kwake kote kunafanana rangi, yani mpango ni njano, blue nyeupe na kijani mpaka hata kwenye viatu.. computer, simu, mapambo ya nyumba na sehemu nyingine.

Mwanasheria huyu ana umri wa miaka 57 sasa hivi.










Hadi church?










Home

https://www.youtube.com/watch?v=YflnDb7S-Mw

Ametisha hajatishaa?

Post a Comment

0 Comments