Header Ads Widget

TAZAMA PICHA ZA DK.ISSAC MARO AKICHANA FEDHA BANDIA STUDIONI.




Fedha bandia (picha, maelezo na GSengo blog)

Kama ulisikiliza kipindi cha Njia Panda kupitia redio kikiongozwa na Dk. Isaac Maro, utakuwa
ulisikia kisa na mkasa uliomkuta msimuliaji aliyepachikwa jina la bandia 'Baraka' (kwa ajili ya kulinda usalama wake). Zile fedha zilizokuwa zikiongelewa kuwa ni feki, hapo juu pichani ndiyo mfanowe.



Fedha hizo feki zilichanwachanwa 'live' ili kudhihirisha umma kuwa Njia Panda na Clouds FM haiungi mkono biashara haramu ya fedha bandia.

Post a Comment

0 Comments