Header Ads Widget

HUYU NDIYE MREMBO WA XXL YA CLOUDS FM, FATMA HASSAN A.K.A DJ FETTY .YUKO POA SANA TAZAMA HII PICHA..



Huyu ni moja kati ya wadada watangazaji waredio ambao ni wakali (wanaofanya vizuri) sana hapa TZ….Utakubaliana na mimi kuwa huyu ndio queen wa kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM redio….Mbali ya kuwa na sauti ya kipekee na kisheko kinacho tuchanganya wengi wa jinsia yangu (Male)……she is also a DIVA……Jionee mwenyewe picha hizi……then achia comment yako!!!

Post a Comment

0 Comments