Burudani toka 254 ilihusishwa ambapo Cmb Prezzo ameburudisha watu wote waliokuwa ukumbini usiku huo na katika mashindano haya yamemalizika kwa Lilian Timoth kutamgazwa kuwa ni Miss IFM 2014.
Hizi ni miongoni mwa picha kuanzia Red Carpet mpaka mshindi anapatikana.
0 Comments