Fans wangu wa nguvu Kwa jina La JAFARI ABDALLAH Ni fans wangu wa mda sana na nimeshukuru sana kuja hapa offisini kwangu kunijulia hali undugu ni kutembeleana na kujuliana hali.
Fans wangu wa nguvu JEFF. JAFARI ABDALLAH Akiwa katika nje ya offisi ya kwetu miono
Jafari abdallah akiwa na mwanae.
JEFF Aliniombea dua njema alivyofika offisini
Alisema " Nakutakiwa uwe ni mtu mwenye afya nzuri siku zote na ufanikiwe zaidi na zaidi kupitia mtandao huu wa kwetumiono,Mungu atakusaidia utapona haraka huo ugonjwa unaokusumbua"
Bloga kwetu miono" AMIIN"Nashukuru kwa dua yako Fans wangu
Mwisho napenda kuwashukuru fans wangu wote wa blogg hii,nawaahidi kuwapa update nzuri zinapotokea.Mniombee bloga afya njema bloga wenu maana kwa sasa afya yangu sio nzuri sana nasumbuliwa na Mafua.
Wenu kwetu miono bloga nawakaribisha wote mnaotaka kutengenezewa blog kwa bei poa kabisa
Piga simu number: O654 29 19 32
Utanipata kwa urahisi na kwa haraka zaidi
0 Comments