Header Ads Widget

MUHIMU HII SOMA;HOMA YA DENGUE NI NINI?




Homa ya dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya A Eedes mwenye virus vya ugonjwa huo wa dengue.mbu hupata virus wa homa ya dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu .Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa kuumwa na mbu huyu.



DALILI;

Zifuatazo ni daliliza ugonjwa huu wa Dengue.

1.Homa kali ya Ghafla,

2.kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni,

3.Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili,

4.Kichefuchefu au kutapika,

5. kutokwa na damu kwenye fizi na sehemu za uwazi za mwili au uchovu wa mwili.



ANGALIZO:

Ukimsikia ndugu,jamaa,rafiki au wewe mwenyewe,kuwa na dalili hizo basi wahi Hospitali haraka iwezekanavyo.









TAARIFA KUTOKA WIZARA YA AFYA:












Iwapo itatokea una kila dalili za home ya dengue,Dawa ya kukimbilia ni Panadol;Inashauriwa usimeze KABISA Diclopar wala Dicrofenac.Iwapo utameza dawa hizi, utakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha!!!! . Ukisoma post hii mjuze na mwenzio au share na friend zako.




Post a Comment

0 Comments