Header Ads Widget

*HIVI NDIVYO MAN CITY WALIVYOTWAA UBINGWA WA LIGI YA ENGLAND JANA. SAFI SANA





Man City jana wametwaa ubingwa wa Ligi kuu ya England baada ya kuwachapa New Castle kwa mabao 2-1 na kujiongezea pointi 86 zilizowafanya kuwa juu ya Liver Pool wenye pointi 84 na kutwaa ubingwa huo kwa mara ya pili baada ya miaka mitatu.

Post a Comment

0 Comments