Header Ads Widget

Marufuku Mbadala Wa Matumizi Ya Bangi Ufaransa.

Marufuku Mbadala Wa Matumizi Ya Bangi Ufaransa

Bidhaa za HHC, zinazouzwa kwa namna ya maua yaliyokaushwa, mafuta, au vimiminiko vya mvuke, vinaweza kuwa zaidi ya , kuvuta sigara au kuvuta pumzi.

Zimekuwa maarufu nchini Ufaransa kama toleo la kisheria la bangi, linalopatikana mtandaoni na katika idadi inayoongezeka ya maduka yanayouza bidhaa za CBD.

Lakini kuanzia Jumanne tarehe 13 Juni, HHC imepigwa marufuku kuuzwa .

Uamuzi huo unatokana na utafiti unaoonyesha kuwa HHC “inatoa hatari sawa ya matumizi mabaya na utegemezi kama bangi”, lilisema Shirika la Kitaifa la Ufaransa la Usalama wa Dawa na Bidhaa za Afya (ANSM) mnamo Jumatatu.

Marufuku Mbadala Wa Matumizi Ya Bangi Ufaransa

Hivi karibuni nchi nyingine za Ulaya zimepiga marufuku uuzaji wa HHC, zikiwemo Austria, Ubelgiji na Denmark, pamoja na Uingereza na sasa ni zamu ya Ufaransa.

Marufuku Mbadala Wa Matumizi Ya Bangi Ufaransa

Katika kipindi cha miezi michache iliyopita, HHC imepata soko lake katika idadi ya maduka ambayo hapo awali yalikuwa maalumu kwa uuzaji wa CBD (cannabidiol) huku Molekuli ya syntetisk zikiuzwa katika umbo la mvuke kwenye maua ya bangi, kama kifaa cha kielektroniki au sigara za kielektroniki, kama resini, mafuta, na zile zinazo tengenezwa kama pipi licha ya athari za kisaikolojia za bangi.

Marufuku Mbadala Wa Matumizi Ya Bangi Ufaransa

Tarehe 15 Mei, Waziri wa Afya François Braun alitangaza nia yake “kupiga marufuku matumizi na uuzaji wa HHC”.

“Wizara yangu imehamasishwa kulinda afya ya Wafaransa na kupigana dhidi ya uraibu”, alitweet.

Hatimaye kuanzia jumanne, ya Juni 13, matumizi, uuzaji na utengenezaji wa hexahydrocannabinol (HHC), molekuli inayotokana na bangi, imepigwa marufuku nchini Ufaransa.

Ufaransa inaungana na Austria, Ubelgiji, Denmark na Uingereza katika kupiga marufuku dawa hiyo, wakati nchi zingine saba za EU zimechukua hatua mwaka huu kudhibiti

Post a Comment

0 Comments