Header Ads Widget

Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, hii ndio list ya mastaa waliosajiliwa Uingereza …






Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha dogo la usajili la mwezi January halijafungwa kwa vilabu vya Ulaya, January 22 imenifikia ripoti ya vilabu vya Ligi Kuu Uingereza, list ya wachezaji iliyowasajili hadi sasa katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January.

AFC Bournemouth
Juan Iturbe kutoka AS Roma kwa mkopo
Benik Afobe kutoka Wolves. thamani £12.1m
Lewis Grabban kutoka Norwich City (ada siri)


Arsenal
Mohamed Elneny kutoka FC Basel. ada £5.5m


Everton 
Matty Fouldes kutoka Bury.
Shani Tarashaj kutoka GC Zurich.

Leicester City
Demarai Gray kutoka Birmingham City.

Liverpool
Marko Grujic kutoka Red Star Belgrade.
Kevin Stewart kutoka Swindon Town. amerudi alipokuwa kwa mkopo
Tiago Ilori kutoka Aston Villa amerudi alipokuwa kwa mkopo
Steven Caulker kutoka QPR kwa mkopo


Manchester United 
Adnan Januzaj kutoka Borussia Dortmund. amerudishwa alikokuwa kwa mkopo


Norwich City
Matt Jarvis kutoka West Ham United.
Ivo Pinto kutoka Dinamo Zagreb.
Ben Godfrey kutoka York City.
Timm Klose kutoka Wolfsburg.
Steven Naismith kutoka Everton.


Southampton
Charlie Austin kutoka QPR.

Sunderland
Jan Kirchhoff kutoka Bayern Munich. 
Dame N’Doye kutoka Trabzonspor. kwa mkopo

Watford
Nordin Amrabat kutoka Malaga.
Costel Pantilimon kutoka Sunderland.





Post a Comment

0 Comments