Header Ads Widget

Hii Ni Taarifa kuhusu ajali ya basi la abiria katikati ya safari Dar-Moro… RIP






Picha zimeenea kwa muda sasahivi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha ajali ya basi huku kukiwa na taarifa tofauti kuhusu vifo na majeruhi kwenye ajali hiyo.


Blog ya mwanahabari Issa Michuzi imeandika kwamba ni kweli ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo January 23 2016 katika eneo la Mikese, ni basi la kampuni ya BM ambalo limegongana na gari jingine na kutumbukia korongoni kutokana na mwendokasi.

Marehemu wa ajali ni wawili na majeruhi ni 43… wapumzike kwa amani waliofariki, majeruhi wapate ahueni haraka pia.



Post a Comment

0 Comments