Header Ads Widget

KAMATI YA MISS TANZANIA YA KINA JOKATE YAJIVUA UONGOZI!




Kamati ya Miss Tanzania ya kina Jokate Mwegelo na Juma Pinto iliyoteuliwa na Kampuni ya Rhino Agency imejiondoa madarakani, kufuatia tofauti zilizo ibuka baina yao, wajumbe wa kamati hiyo wamebainisha haya wakati walipokutana na waandishi wa habari jana na kufafanua zaidi kuhusiana na taarifa hiyo.

Miongoni mwa sababu zilizo sababisha Kamati hiyo kung’oka madarakani ni pamoja Kampuni ya “Rhino Agency” kuingilia Majukumu ya Kamati hiyo.

Post a Comment

0 Comments