Header Ads Widget

HATIMAYE BAADA YA KUACHANA NA MUMEWE DIDA WA TIMES FM AONYESHA JEURI YA PESA; ONA HAPA.







Baada ya Dida Mtangazaji wa Times fm Kuachana na Mumewe Edzen siku si nyingi zilizopita amejitokeza na kuonyesha Jeuri Nyingine ya Pesa na kudhihirisha yeye ndio Boss Lady wa Ukweli Bongo ,

Didas Kuacha mali zingine alizowahi kuonyesha na watu kubaki midomo wazi Amenunua Magari Mawili kwa Mpigo Ambapo Moja ni Toyota Noah Kwa Ajili ya Biashara yake na Jingine ni Toyota Brevis New Model..





Mbali hivo Dida anamiliki Nyumba Mbili na magari mengine Manne

Post a Comment

0 Comments