Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo
Fuso ambalo namba zake hazikufahamika kwa haraka likiondolewa barabarani baada ya kusababisha foleni eneo hilo la Chalinze.
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo kwenye eneo la Chalinze
Hizi chini ni picha za magari yakiwa kwenye foleni kubwa iliyosababishwa na ajali iliyotokea eneo la Chalinze leo mchana.
0 Comments