Header Ads Widget

KUHUSU GARI AINA YA COSTAL YA WANAFUNZI WA CHANGALIKWA SEKONDARY ILIUWA WATOTO WANNE NA DEREVA WA LORI LA CHUMVI AKUKWA AMEFARIKI DEREVA WA COSTAL AKAMATWA

Kiukweli inasikitisha sana Jana wakati nikitokeo KWETU MIONO Maeneo ya Hondogo kulitokea ajali iliyohusisha Gari aina ya costal ambayo iligonga watoto wanne na dereva wa lori alikutwa amefariki, kwahiyo idadi ya vifi yafikia vitano badala ya vitatu kama ilivyoandikwa mwanzo.

                  Picha na OMARY RASHIDI:  Lori la chumvi lililotaka kuanguka  Eneo la hondogo

Mashuhuda walisema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Lori ambalo ni la chumvi lilitereza na kutaka kuwanguka hali iliyosababisha watoto kulishangaa gari hilo wakiwa pembezoni mwa barabarani,Ghafla likaja gari lililokuwa limebeba wanafunzi wa changalikwa sekondary wakielekea saadani national park kwenda kutalii, Alichokifanya dereva aliyebeba wanafunzi ni kwamba alishindwa kuwakwepa watoto kwasababu ya lori yaani kama angewakwepa basi angeligonga lori hilo,pia lori hilo lilikaa bila tahadhari yoyote. Hivyo akaamua kulikwepa lori na kuwagonga hao watoto,Lakini hata hivyo dereva wa costal hiyo alikamatwa. kwetu MIONO.
Nilipewa taarifa hizi jana na mdau wa hondogo ambaye alikuwa na taarifa hii full akisema nibadilishewaliofariki ni wanne na dereva wa lori alifariki akaongeza kwa kusema kuwa na dereva wa costal alikamatwa tofauti na ilivyoandikwa jana. 


Ukiwa na tukio au habari tutumie katika e-mail yetu ambayo ni  kwetumiono@gmail.com au piga simu no: 0654 291 932
                                            Picha na OMARI RASHIDI


















Post a Comment

0 Comments