Header Ads Widget

UNAAMBIWA VIDEO MPYA YA MDOGOMDOGO, DIAMOND PLATNUMZ AONGEZA SWAGGA ZA FARASI NA WATOTO WA KIZUNGU!!


Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali. Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msitini na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa enzi za kabla ya ukoloni.



Pia kupitia Instagram, staa huyo amepost picha akiwa airport nchi za nje akielekea Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET, zitakazotolewa June 29.

Post a Comment

0 Comments