Snura Mushi kwa PICHA.
KWA mujibu wa mtu wa karibu wa mwanadada Snura ambaye jina lake tumelisunda kapuni ameinong'oneza Website hii kwamba Snura
alionyesha dalili zooote za ujauzito wakati wakiwa safarini kutoka Iringa kuja Dar baada ya kutoka katika tour ya Kilimanjaro, Dalili hizo moja wapo ikiwa kutapika mara kwa mara.. Aliendelea kufunguka kuwa ujauzito huwo asilimia kubwa utakuwa wa DVJ Hunter wa Maisha Club ya Jijini Mbeya. Mmh.. mi napita tu!

DVJ Hunter
Credit:Masainyotambofu.

0 Comments