
Msanii wa bongo movies ambaye ni mzazi mwenzie na muimbaji wa dansi Chaz Baba, Sajenti hivi majuzi alilazwa na alikuwa katika hali mbaya lakini kwa uwezo wa Mungu na dua watu alifanikiwa kupona na sasa anaendelea vizuri.
Huyu ni Mmoja wa wasanii waliojitokeza hadharani Kumuombea apone haraka

0 Comments