Header Ads Widget

MAGARI YAKWAMA BARABARA YA IFAKARA - MLIMBA, TAZAMA PICHA



Magari yakiwa yamekwama katika barabara ya Ifakara - Mlimba mkoani Morogoro.

MBALI na mvua kupungua katika maeneo mbalimbali ya nchi, bado hali si nzuri kwa watumiaji wa barabara ya Ifakara kwenda Mlimba mkoani Morogoro baada ya magari kukwama kwenye barabara hiyo ambayo bado imejaa tope.Picha na GPL

Post a Comment

0 Comments