Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa
Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
Mabaki ya Vibanda
Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka eneo husika Tayari kwa kuzikusanya kuzipeleka eneo husika
Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea
Mashuhuda wakiongezeka
Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara. Picha na Dar es salaam yetu Blog
0 Comments