Nadhani wote mnakumbuka ule wimbo maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia mwaka 2010 wa ‘wakawaka’ ulioimbwa na Shakira ambapo this time kwenye kombe la dunia baada ya ule kufanya vizuri… mwaka huu Shakira amepata shavu jingine la kufanya wimbo wa kombe la dunia litakalofanyika Brazil kuanzia mwezi ujao.
Wimbo huo umepewa jina la La La La (Dare) na video yake tayari imetoka na ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja na mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain Gerard Pique.
Wachezaji wengine walionekana kwenye video hiyo ni Lionel Messi, Aguero, Radamel Falcao na wengine wengi itazame hapa chini…
0 Comments