
Wafanyakazi wa Hoteli ya Sharon iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam wagoma kuendelea na majukumu yao ya kila siku huku kisa kikielezwa kuwa ni kutolipwa mshahara wao wa mwezi Aprili.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema, mgomo huo umefanyika ikiwa ni baada ya wafanyakazi hao kujiunga na chama cha wafanyakazi kiitwacho Chadau jambo linalopingwa na uongozi wa hoteli hiyo.
Credit: Eddy blog
0 Comments