Header Ads Widget

HATIMAYE WAFANYAKAZI WA NEW HABARI (2006)WAPINGA UBAGUZI WA RANGI,TAZAMA PICHA ZAO HAPA.




Wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006), jana walijumuika na baadhi ya mastaa duniani kula ndizi kama ishara ya kupinga vitendo vya kibaguzi kama alivyofanyiwa mchezaji Daniel Alves wa Barcelona


Post a Comment

0 Comments