Baada ya uvumi kuenea zaidi na zaidi kuwa Prezzo anatoka kimapenzi na mwanadada Vera Sidika, Prezzo na Vera wameamua kuzidisha kuwa midomoni mwa mashabiki wao baada ya kuamua kuachia picha ikiwaonesha wakiwa katika dimbwi kubwa la mahaba, na wawili hao kila waulizwapo kuwa wapo kwenye mahusiano wamekuwa hawana jibu la moja kwa moja na mara nyingine wanasema bado muda wake, Tazama picha hapo chini ikimuonesha Prezzo akiwa kwenye dimbwi kubwa la Mahaba na Vera Sidika
0 Comments