Header Ads Widget

VIDEO MPYA TUNDA MAN "MAMA KIJACHO" HII HAPA




Mama Kijacho ni wimbo ambao Tunda Man kaamua kuelezea vitu ambavyo wanakutana navyo Wanaume pale ambapo wapenzi wao au wake zao wanapokua wajawazito, kaelezea visa ambavyo Wajawazito huvifanya.

Post a Comment

0 Comments