Jan 20 2016 mvua zilinyesha katika baadhi ya maeneo Dar, hapa nakusogezea picha kutokea eneo la Mkwajuni Kinondoni eneo ambalo siku chache zilizopita bomoabomoa ilihusika kulisafisha kutokana na mazingira kutokuwa salama kwa wakazi wake.
By Msombe TZA


0 Comments