Kama Bado Hujajiunga Nasi,kupata habari na matukio kila dakika Bonyeza Hapa sasa!
RORYA:
WATU ZAIDI YA 200 WILAYANI RORYA MKOANI MARA KATIKA KATA YA NYAHONGO WAMEKOSA WAMEKOSA MAKAZI BAADA YA NYUMBA ZAO KUEZULIWA NA UPEPO ULIOMBATANA NA MVUA KUBWA
TUKIO HILO LA KUEZULIWA KWA NYUMBA LIMETOKEA USIJKU WA KUAMKIA TAREHE 31 OCTOBER 2014
AKIONGEA NASI DIWANI WA KATA YA NYAHONGO BW. MUSSA EZIRON AHAGO AMEVITAJA VIJIJI VILIVYO PATWA NA TATIZO HILO KUWA NI NYAMUKONGE, NYABIKONDO NA MANYANYI
DIWANI HUYO AMEONGEZA KUWA MVUA HIYO IMEWEZA KUUA NG’OMBE SITA NA MBUZI KUMI NA MMOJA NA MASHAMBA MENGI KUHARIBIWA NA MVUA HIYO
AIDHA MUSSA AMEIOMBA KAMATI YA MAAFA YA WILAYA IWEZE KUWA PATIA MSAADA WAHANGA HAO KWASABABAU WENGI WAMEACHWA BILA CHAKULA NA HUKU WENGINEWAKIWA AMEJIIFADHI KWA MAJIRANI
NA ASHER JUMA, EDDY BLOG RORYA

0 Comments