"Ndugu zangu baada ya Miaka 3 sasa Albam yangu ya 2 iitwayo SAPRAIZI iko tayari. TAR 1 OCTOBER UTAIPATA MADUKANI. KUMBUKA KWANGU HII NI HUDUMA HIVYO NATOA RUHUSA KWA WAIZI WA KAZI ZA WAIMBAJI KUWAAAA......ALBAMU HII UNARUHUSIWA KU BURN NA KU COPY KWA TANI YAKOOOO NA HAMNA KESI...KAMA ULIKUWA UNATUMIA KAKOMPUTA KENYE UWEZO MDOGO KATAFUTE LIKUBWAAA. KWA RAHA ZAKO. TAFADHARI MTAALIFU NA MWENZIO ITASAMBAZWA NA UMOJA (MAMU)"
0 Comments