Header Ads Widget

TANZANIA NI NCHI YA 5 KWA UCHUMI UNAOKUA KWA KASI ZAIDI DUNIANI.INGIA HAPA






Wakuu, nilikuwa naangalia kipindi cha "Last Word" cha Lawrence O'Donnell kwenye chanel ya msnbc, na kati ya mambo yaliyoongelewa ni mkutano kati ya USA na viongozi wa Africa.

Jambo lililonigusa zaidi na kupelekea niweke uzi huu ni kusikia kwamba Tanzania ni kati ya nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi duniani. Kwenye orodha ninayoambatisha hapa chini imeorodheshwa kuwa nchi ya 5.


Ebu tujadili hilo kwa mtazamo chanya kuona ni jinsi gani kasi hiyo ya kukua kwa uchumi inawagusa na kuwanufaisha wananchi.

Naomba economists watusaidie kuelewa hili.

Nawasilisha.

Post a Comment

0 Comments